Namna ya Kuchangia Redio Uhai Kutoka Katika Nchi Yoyote Duniani


Kama unataka kutuma fedha kuchangia huduma ya Redio Uhai ukiwa Tanzania, unaweza kutupa pesa yako kwa Meneja wa Radio Uhai kwa kutumia taarifa zifuatazo:-

Deusdedith Cosmas Kanunu
S.L. P. 691,
Tabora, Tanzania

Hapa kuna njia tatu pia za kutuma hela kuchangia huduma ya redio Uhai katika nchi ya Tanzania

Money Gram na Western Union ni njia nzuri zinazokuwezesha kutuma hela popote duniani

MoneyGram
https://secure.moneygram.com

Western Union
http://westernunion.com

Xpress Money
http://www.xpressmoney.com/

Baada ya kupata namba uliyotumia ama kwa MoneyGram, Western Union au Xpress Money,

Tafadhari tuma taarifa hizo ulizotumia katika kutuma fedha kwenye barua pepe zifuatazo
na

Unaweza kupiga redioni kwa namba zifuatazo kutoa taarifa ya namna ulivyotuma mchango wako kati ya njia hizo tatu MoneyGram, Western Union au Xpress Money:
+255-746-460-374
+255-783-893-434


© 2017 - 2018 Radio Uhai