App ya Redio Uhai

Radio Uhai Apps – App Yetu

Hapo chini kuna njia kadhaa ambazo unaweza kusikiliza Redio Uhai kwa App yetu kupitia simu Janja.

Hizi ni taarifa kuhusu App yetu ya Redio Uhai.

Tovuti hii hapo chini ni kwa kwaajili watumiaji walio na simu za aina ya Apple.

https://itunes.apple.com/us/app/radio-uhai/id1360667236?mt=8&ign-mpt=uo%3D2

Tovuti hii ni hapo chini ni kwaajili ya watumiaji walio na simu aina ya Android unapakua kupitia Google Play Store.

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.listen2myapp.listen2myapp245

Ikiwa utaingia kwenye Google play na ukaandika neno “Radio Uhai” utaiona na unaweza kupakua.

https://play.google.com/store

Hii App pia inaweza kutumika na komputa aina ya tablet.

Wapendwa!

Moja ya App yetu iko tayari.

Kama una simu aina ya Apple iPhone pakua hapa kupata Redio Uhai.

https://itunes.apple.com/us/app/radio-uhai/id1360667236?mt=8&ign-mpt=uo%3D2

Kwa wale watumiaji wa simu janja au Android pakua hapa.

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.listen2myapp.listen2myapp245

Ukiingia kwenye google play kwenye simu yako ukaandika “Radio Uhai” kwenye sehemu ya kutafuta, utaipata Redio Uhai.

https://play.google.com/store

Unaweza kusikiliza Redio Uhai kupitia App ya Tunein.

Unaweza kusikiliza Redio Uhai kwa njia ya mtandao katika tovuti hii.

https://tunein.com/radio/Radio-Uhai-s305269/

Tovuti hii itakwambia namna unavyoweza kusikiliza Redio Uhai kupitia Tunein.

https://tunein.com/get-tunein/

Pia kuna App ya Tunein ambayo unaweza kupakua kusikiliza Redio Uhai.

Google Play kupitia simu za aina ya Android.

https://play.google.com/store/apps/details?id=tunein.player&hl=en

https://play.google.com/store/apps/details?id=tunein.player&hl=en_US

App Store kupitia simu aina ya Apple.

https://itunes.apple.com/gb/app/tunein-radio/id418987775?mt=8

https://itunes.apple.com/us/app/tunein-pro-radio-sports/id319295332?mt=8

Radio Uhai Apps

Below are different ways you may listen to Radio Uhai on an app on your smartphone.

This is information on the Radio Uhai apps:

This is for Apple iphone users in the App Store. It is an app just for Radio Uhai listeners.

https://itunes.apple.com/us/app/radio-uhai/id1360667236?mt=8&ign-mpt=uo%3D2

This is for Android users in the Google Play store. It is an app just for Radio Uhai listeners.

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.listen2myapp.listen2myapp245

If you go to the google play website and put Uhai in the search engine, you will find it.

https://play.google.com/store

This app may also be used on tablet computers.

You may listen to Radio Uhai at Tunein on Tunein Apps.

You may listen to Radio Uhai online at this link.

https://tunein.com/radio/Radio-Uhai-s305269/

This website will tell you the different equipment you can use to listen to Tunein.

https://tunein.com/get-tunein/

There is also a Tune In App that you may download to listen to Radio Uhai.

Google Play Android Store

https://play.google.com/store/apps/details?id=tunein.player&hl=en

https://play.google.com/store/apps/details?id=tunein.player&hl=en_US

Apple App Store

https://itunes.apple.com/gb/app/tunein-radio/id418987775?mt=8

https://itunes.apple.com/us/app/tunein-pro-radio-sports/id319295332?mt=8